GENN MEDIA

KANSAS COLLEGE OF NURSING

Alhamisi, 18 Juni 2015

MPYAAA...!! ALIKIBA AISAIDIA FAMILIA YA DIAMOND

daikiba 
Tuachane na hayo tukija kwenye ukweli halisi Alikiba aisaidia familia ya Diamond usingemjua Qeen Darlin bila Alikiba kwani ndiye aliyechangia watanzania kumjua Qeen na mond kwa sasa wanaitana dada na kaka na hata juzi kwenye tuzo za KTMA Qeen Darlin alienda kumchukulia tuzo Diamond

Ajabu sana kuona magazeti na Mitandao ya kibongo kukosoa tuzo za KTMA au kwa kuwa kachukua Alikiba? watu wanakwambia wimbo bora ungetakiwa uwe Nani kama Mama wa Bella hivi kati ya Nani kama Mama na Mwana Dar es Salaam upi umekimbiza sana mwaka 2014 kila kona unapopita Mwana ilikuwa inatemesha, wengine utasikia mtunzi bora awe Barnaba.

Barnaba katunga nyimbo gani iliyotingisha mpaka tumpe tuzo hiyo kwangu Barnaba ni msanii wa kawaida bila (Chombo flani cha Habari) tusingemjua.

Watanzania tusiwe wafupi wa fikra eti kwa kuwa kakimbiza nje ya nchi ndio kiwe kigezo tumpe tuzo hata Real Madrid ilikuwa bingwa uefa lakin la liga alichukua Atletico Madrid.

Kwangu kipaji cha kiba ni kwa ajili ya watanzania wote na diamond chake mwenyewe
usingemjua prince seseme, dimpozi, darlin na wengine wengi bila kiba

Ebu nitajie mond kawatoa wangapi, nyie pigen kelele na hizo tuzo za mama ila sie tunakuja kama Barca na tutaitawala africa kwan miaka ya zaman barca ilikuwa timu ya kawaida na Real madrid ndio alikuwa anatàmba.

Nyie kama ronaldo sie kama messi, tunakuja pigeni kelele ila ukweli unabaki wazi kiba karud mond atachukua tuzo moja hizi mbili tumemuonea huruma. Zile 7 alichukua kwa kuwa kiba alikuwa anakula pensheni yake.

 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni