GENN MEDIA

KANSAS COLLEGE OF NURSING

Jumatano, 17 Juni 2015

Picha za mjengo ambao ulikuwa wa J Lo, ukaingia sokoni na mteja kapatikana baada ya miaka mitano !!

P Collins 
Mjengo ambao Staa Jennifer Lopez aliuuza mwaka 2005 kwa Dola Milioni 13.9 uliingizwa tena sokoni kwa zaidi ya miaka mitano iliyopita mtu wangu.. Mjengo huo uliopo Miami Beach, Marekani una historia yake yani, kwanza ulijengwa mwaka 1929 na hata ukiona design yake inaonesha kabisa sio jengo jipyajipya!!

Nyumba iliwekwa sokoni mwaka 2010, mteja kapatikana 2015 ambae ni Mwanamuziki mkongwe Marekani, Phil Collins.. kauziwa kwa Dola Milioni 33 wakati J Lo kipindi anaiuza mwaka 2005 aliiuza kwa Dola Milioni 13.9.
Pichaz zake zimenivutia mtu wangu, unaweza kuucheki hapa kwenye hizi pichaz zake 25


IS1fo7qjclm6901000000000 


IS1z78b6emoh801000000000 

IS5uiwu2zqt3801000000000 

IS9lqj8qgtu3901000000000 

IS95aktciuwe801000000000 

ISd0l8d93z11801000000000 

ISd01pcogx0zw01000000000 

ISdg18sm1yzp801000000000-2 

IShrsvqwk131901000000000 

ISl2kjp6456c901000000000 

ISl6nkvf77ay701000000000 

ISl631vuk59ww01000000000 
ISlm3kat568n801000000000 

ISphe8upqad9801000000000 

ISpxu793p9by801000000000 

ISt8mv7d8de9901000000000 

IStc5dd1pdhtw01000000000


IStcpwdmbfiv701000000000 

ISts5wsz9egk801000000000 

ISx3xjr9thjv801000000000 

ISxngkcwuil6801000000000 
 
 Mjengoree

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni