GENN MEDIA

KANSAS COLLEGE OF NURSING

Ijumaa, 19 Juni 2015

Hizi ni pichaz 10 za mwonekano tofauti wa Michelle Obama..

Mishi Babeey 

Michelle Obama first lady na mke wa Rais Barack Obama wa Marekani ni moja ya First Ladies wanaokwenda na wakati, na ameshatajwa na magazeti mengi Marekani kama mwanamke anaejua kwenda na wakati pamoja na mitindo.
Kuna picha nyingi za first lady huyu kwenye mwonekano tofauti akiwa amevaa nguo za style tofauti, lakini hapa nimekusogezea picha kumi tu za mwonekano wake kwenye mavazi tofauti tofauti.


MO 10 
1. Michelle Obama akiwa White House

MO 4 
2. Hapo anashuka toka kwenye Air Force 1

MO 1 
3. Hapa alikuwa kwenye TV Talk Show Marekani

MO 3

4. Mrs Obama kwenye mavazi matembezi binafsi

MO 9 

5.  Michelle Obama akiwa home anamwagilia maua. 

First lady Michelle Obama arrives in the East Room at the White House in Washington, Monday, Sept. 26, 2011, to speak at an event about supporting and retaining women and girls in science, technology, engineering and math (STEM) careers. (AP Photo/Charles Dharapak) 

6. Mrs. Obama alikuwa anaingia White House kwa ajili ya mkutano wa wanawake mwaka 2011.

MO 2 

7. Hii ilikuwa Tuzo za BET Black Girls Rock mwaka 2014 

MO 13 

 8. Hapa kwenye ziara zake kama first lady.

MO 12 

9. Hapa kajiachia na wanafunzi kwenye kipindi cha michezo na muziki kwenye moja ya shule alizozitembelea mwaka 2013. 

MO 14 

10. Mama akapewa kipaza sauti na kuwa MC kwenye Tuzo za watoto za Teen Choice Awards mwaka 2014. 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni