Rapper aliye kwenye orodha ya Mamilionea wa Hiphop duniani 50 Cent
alikutana na Interview ya Radio ambapo moja kati ya maswali aliyoulizwa
ni kwa nini hakuonekana kwenye pambano la rafiki yake Floyd May Weather
April 2015.
50 Cent alikua na haya ya kusema >>> “Sio
kwamba sikutaka kwenda.. nilipania kwenda,isitoshe nilipewa ticket nne
za lile pambano na HBO, kama mnavyojua niliweka dau juu yake..So
nlivyotoka kwenye party nliohudhuria chini ya HBO nkaona nikajiandae
niende. Lakini baada ya kuvaa na kila kitu roho ikasita tuu na
nikajikuta nimegairi kwenda na nikaona bora kwenda sehemu tofauti
kabisa…kusikilizia pambano litaishaje“
“sio kwamba nilihisi hatoshinda, no
dogo anajua…sema nlihisi kama ntachukua sana media attention kama
ningeoneka na hivyo kuhamisha attention la pambano hilo kutoka kwa Floyd
Mayweather aliekua amejiandaa kwa muda mrefu sana, na kufanya mazoezi
ya nguvu kwa ajili ya lile pambano, kuhamia kwangu… Kutokuwepo kwangu
hakuhusiani kabisa na beef letu, hayo tuliyamaliza‘ – 50
‘Nilihisi media itashambilia uwepo
wangu tofauti na dhamira ya mimi kwenda … kuhusu dau la millioni 1.6 yes
niliweka dau hilo ikiwa tuu atashinda, sikujali angerusha ngumi ngapi
au jabs ngapi dau lilikua yeye ashinde pambano achukue pesa, lakini
badaae nlikuja kulifuta dau hilo,baada ya mimi na yeye kupatana siku
chache kabla ya pambano lake..lakini mwisho wa siku kama mlivyo ona
alishinda..!
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni