Jana kwenye Hekaheka ilikuwa ishu ya
mwanamke mmoja ambae alipata ujauzito wa mwanaume mwingine wakati mume
wake ambae ni mwanajeshi akiwa nje ya nchi kikazi.
Ishu ilifika Hospitali ya Mwananyamala
ambao waliwaambia wampeleke mtoto huyo Polisi ili apelekwe Ustawi wa
Jamii.. Mama wa mtoto huyo hakutaka mtoto wake apelekwe Ustawi wa Jamii.
Walivyofika Polisi waliongea ukweli,
Polisi wakataka kuwakamata kwa kesi ya kuidanganya Serikali, lakini
baadae wakaachiwa na mtoto.
Mama mzazi mwenye mtoto huyo amesimulia jinsi ilivyokuwa… amesema hawezi kurudi kwa mumewe kwa kuwa ni mkali anaweza kumpiga.
Yeye na mume wake huyo mwanajeshi wana watoto watatu, amesema hawezi kurudi watoto watalelewa na baba yao.
Bonyeza hapo chini kusikia sauti yake
Bonyeza hapo chini kusikia sauti yake
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni