Mrembo wa TZ ambae yuko kwenye Industry ya modeling ameonekana kwenye Magazine ya New African Woman
ambayo jamaa wanaoiandaa wako Uingereza, mrembo wetu kasema toleo
ambalo yeye ameonekana lina pichaz zake pamoja na Interview inayohusu
maisha yake kwa ujumla.
Model wa TZ, Flaviana Matata.
Flaviana
amesema waandaaji wa Magazine hiyo huwa wanafanya matoleo makubwa
mawili, moja ni kwa ajili ya Ulaya na jingine kwa ajili ya Nchi za
Kusini mwa Afrika ambalo ndio yeye ametokea pia.
Kuna post aliweka Flaviana akiwa
amevaa gauni la harusi, hiyo ni moja ya kazi zake za mitindo lakini pia
ni mwanzo tu wa kujaribu tu jinsi ambavyo atatokelezea siku ya harusi
yake.
Hanscana alitajwa na Adam Juma kwamba ni director ambae amefanya video kali zinazomvutia.. Hanscana amesema imempa moyo kuona mkali kama Adam anazikubali kazi zake.
Director Hanscana.
Jamaa kasema jicho lake bado linaikubali video ya ‘Mmmh’ ya C Pwaa. ambayo ilifanywa na Director Adam Juma.. Kwa upande wa list ya Directors anaowakubali sana wa kwanza ni Khalfan.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni