Tumeishuhudia miaka nane ya mafanikio ya Bongo Star Search
kuibua mastaa wa muziki Bongo.. Iliwahi kusikika Exclusive story kwenye
#Amplifaya ambapo alisikika Madam Rita akiahidi kwamba msimu mwingine wa
BSS unarudi on air!!
“Mwaka huu
2015 utakuwa ni msimu mzuri wa kusisimua.. Bongo Star Seach itakuwa
kwenye Mikoa ya Arusha, Mbeya na Mwanza Pia itarushwa hewani kupitia
Clouds TV na Star Tv kwa wakati mmoja pamoja na kuweka kwenye Youtube na
mitandao ya kijamii“– Nimemnukuu Madam Rita.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni