GENN MEDIA

KANSAS COLLEGE OF NURSING

Jumatano, 13 Mei 2015

Ripoti nyingine ya maafa ya mafuriko Dar, idadi ya waliofariki imeongezeka.. #RIP

671403598

Mvua zimenyesha Dar, story kubwa kwenye TV, Radio, headlines za Magazetini vyote vimeangalia hii ishu.. athari ni kubwa, wao waliopoteza mali zao, nyumba zimeingia maji nyingine zimebomoka.. barabara zimeharibika, mpaka leo May 11 2015 bado Dar mvua inanyesha na ukatika.
Nimepita kwenye blog ya issamichuzi.blogspot.com na kukutana na hii ripoti kuhusu idadi ya watu waliofariki kutokana na mafuriko Dar, ambapo kwa ripoti ya kwanza kutolewa ilionesha watu 8 wamefariki.
Ripoti hiyo imetolewa na Kamanda Suleiman Kova ambapo amesema kadri mvua zinavyozidi kupungua na athari za mvua hizo ndio zinazidi kugundulika zaidi.

DSC_4715 (1)


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni