GENN MEDIA

KANSAS COLLEGE OF NURSING

Jumatano, 13 Mei 2015

Ubunifu mwingine kwenye majeneza ni huu

ndege

Sio kitu cha kawaida eti mtu kujichagulia jeneza ambalo litatumika kwa ajili ya mazishi yake akifariki.. lakini kuna stori ambazo zimekuwa zikiandikwa kuhusu baadhi ya watu kujichagulia kabisa, na kuna moja ilitokea Kenya wiki moja iliyopita ambapo mzee alijinunulia jeneza miaka mitano iliyopita, alipofariki walimzika nalo ikawa story kubwa sana,

gar
Kuna wataalamu Uingereza nao wameamua kufanya ubunifu wa aina hii ya majeneza ambayo kwa kuyaangalia yanavutia.

gar2

Kampuni ya Halliday Funeral Suppliers Ltd ni wasambazaji wa majeneza tangu mwaka 1979 na sasa wamekuja na staili mpya baada ya kubuni aina mbalimbali za majeneza.
gar3

Kampuni hii ina soko kubwa sana la huduma hii, wana wastani wa kuuza majeneza mpaka 300,000 kwa mwaka.


gar4

cup

Coffins

Richard-Halliday

Richard, Mkurugenzi wa Kampuni ya Halliday.. amesema lengo lao ni kumhudumia kila mteja na kile atakachovutiwa nacho. Mteja atapambiwa picha yoyote anayotaka iwe kwenye jeneza lake

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni