GENN MEDIA

KANSAS COLLEGE OF NURSING

Alhamisi, 15 Januari 2015

Tayari ahadi imetimizwa, Video ya Mwana FA feat. Ali Kiba- Kiboko Yangu iko hapa

.

Hii ni video mpya ya mkali Hamisi Corleone Mwinjuma aka Mwana FA ya Kiboko yangu ni moja kati ya ambazo zimekuwa zikisubiriwa kwa hamu na watu wengi.
Video imetayarishwa na Director Kelvin Bosco wa D.M.P. Films.
Ukishamaliza kuitazama mtu wangu usiache kuniandikia lako la moyoni, Mwana FA na Ali Kiba wakipita waone mtu wao umesema nini kuhusu video hiyo.



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni