GENN MEDIA

KANSAS COLLEGE OF NURSING

Alhamisi, 15 Januari 2015

Haya ndio Maneno ya Babu Tale baada ya kuvuja kwa single mpya ya Diamond

.

Ule Ugonjwa wa kuvuja kwa single za wasanii ambazo muda wake haujafika time hii imemkuta Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz, wimbo huo uliopewa jina la Nasema Nawe umesambaa wiki hii kwenye baadhi ya mitandao ikiwemo blogs pamoja na mitandao ya kijamii.

Akiongea na tovuti ya millardayo.com, Babu Tale amesema binafsi ameshangaa  baaada ya kusikia kuwa Diamond ametoa wimbo mpya aliourekodi kwa producer Tuddy Thomas.
‘Ni Kweli wimbo umevuja ila sio official yenu sisi hatuwezi kuchukua uamuzi wowote ila tutaufanyia mastering na tuta u realese kama official na wala hatuwezi kumlaumu producer Tuddy Thomas’– alisema Babu Tale

Huu ndio wimbo uliovuja wa Diamond Platnumz uitwao Nasema Nawe

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni