Muimbaji wa Tip Top Connection, Madee time hii amekuletea hii single mpya aliyomshirikisha Dj Maphorisa kutoka kundi la Uhuru Afrika Kusini.
Isikilize hapa mtu wa nguvu kisha usisahau kuniandikia ya moyoni ili Madee na Dj Maphorisa wakipita hapa wasome kutoka kwa watu wao wa nguvu.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni