Wale wa Trey Songz, nafasi hii itumie kuisikiliza hii single yake mpya
Trey Songz ni miongoni mwa wasanii wakubwa Marekani ambao mashabiki wanakua na hamu kubwa ya kusikia kipya kutoka kwake sasa time hii amekuletea hii single mpya iitwayo Slow Motion.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni