Mtu wa nguvu utakuwa umeshaisikiliza ile single mpya ya Hamisi Mwinjuma aka Mwana FA ‘Kiboko Yangu’ aliyomshirikisha Ali Kiba, sasa time hii wanakupa sekunde 15 za kutazama kionjo cha video hiyo mpya.
Video hiyo inatarajiwa kuachiwa Alhamisi ya wiki hii tarehe 15.
Kwenye screen yako Alhamis hii mtu wangu, MwanaFA anakusogezea hii #Kibokoyangu Ft. Ali K karibu yake >>> @MwanaFA kaa karibu yake >>> @MwanaFA
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni