Msanii wa RnB, Bernard Paul aka Ben Pol time hii anakualika kuisikiliza hii single yake mpya iitwayo Sophia iliyotayarishwa na producer Mswaki.
Isikilize hapa mtu wa nguvu kisha usisahau kuniandikia ya moyoni ili Ben Pol akipita hapa wasome kutoka kwa watu wake wa nguvu.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni