GENN MEDIA

KANSAS COLLEGE OF NURSING

Alhamisi, 15 Januari 2015

Ajali ya basi la magereza yaua 10, ni wafungwa na askari, picha na video ziko hapa…

APTOPIX Fatal Wreck Prison Bus

Basi lililokuwa limebeba wafungwa Texas, Marekani kuwapeleka gerezani, wakiwa njiani basi liliteleza kutoka kwenye barabara kutokana na barafu na kuangukia kwenye reli ambako liligongana na treni ya mizigo.

APTOPIX Fatal Wreck Prison Bus

Katika ajali hiyo wafungwa nane na Askari Magereza wawili walifariki, taarifa kutoka Idara ya Magereza Texas inasema kuwa gari hilo lilikuwa na jumla ya wafungwa 12 na maafisa Magereza watatu ambapo wengine watano walipata majeraha kwenye mkasa huo na kupelekwa Hospitali kwa ajili ya kupatiwa matibabu.
Hizi ni pichaz za eneo la tukio.
Fatal Wreck Prison Bus

Fatal Wreck Prison Bus

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni