GENN MEDIA

KANSAS COLLEGE OF NURSING

Jumatano, 14 Januari 2015

Alichokiandika Fid Q baada ya wahuni kuhack namba yake ya simu Jan 13, 2015

.

Baada ya msanii Ambwene Yessaya aka A.Y kutangaza jana kuwa namba yake ya simu imekuwa hacked na mtu ambaye akijitambulisha kwa watu kuwa yeye ni A.Y  huku akiwaomba hela, sasa taarifa nyingine ninayotaka kukusogezea ni kutoka kwa rapper Fareed Kubanda aka Fid Q ambaye naye amekumbwa na tukio hilo  Jana tarehe 13.2015
Sekunde chache zilizopita kupitia kwenye ukurasa wake wa Instagram Fid Q aliwahabarisha mashabiki wake kuhusu namba yake ya simu ya mkononi kutumiwa na mtu mwingine asiyemfahamu;”TAARIFA: Jamaa wamehack namba yangu ya tiGo ambayo ndo ilikua na whatsapp.. Na huo ndio ujumbe wanaowatumia watu wangu”– @fidq


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni