GENN MEDIA

KANSAS COLLEGE OF NURSING

Jumatano, 14 Januari 2015

Haya ndiyo maamuzi ambayo Wabunge wa Burkina faso wameamua juu ya maslahi ya wananchi wao

buk

Wabunge wa bunge la Burkina Faso wamekubali kupunguza mishahara yao kwa asilimia hamsini.
Uamuzi wa Wabunge hao unatokana na kuibuka kwa malalamiko ya wananchi katika mitandao ya kijamii nchini humo kuwa wamekua wakipokea kiasi kikubwa cha fedha zaidi ya milioni nne kwa mwezi huku mfanyakazi wa kawaida akipokea dola moja na nusu.

bukii
Mshahara huo unajumuisha marupurupu ya kuhudhuria vikao vya bunge, kulipia ofisi, bima ya afya pamoja na fedha za kununua Petrol.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni