GENN MEDIA

KANSAS COLLEGE OF NURSING

Jumatano, 14 Januari 2015

Hii ndiyo List ya kwanza ya mastaa watakao perfom kwenye tuzo za Grammy, 2015

gun

Sherehe ya tuzo za 57 za Grammy zinatarajia kufanyika hivi karibuni huku baadhi ya mastaa wakitajwa kuperfom katika usiku huo kwenye ukumbi wa Staples center, uliopo Los Angeles, California.
Listi ya kwanza ya wasanii watakaopanda jukwani usiku huo ni pamoja na Madonna, Ariana Grande,Ed Sheeran, Eric Church na Rock Legends.
Sherehe za tuzo hizo zitafanyika February 8, 2015

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni