GENN MEDIA

KANSAS COLLEGE OF NURSING

Alhamisi, 18 Desemba 2014

Umepitwa na U Heard kwenye show ya XXL? Young Dee anahusika kwenye hii ya leo December 17

yUN dEEE

Kwenye U Heard ya leo December 17, rapper kutoka 255 Bongo, Young Dee amesikika ambapo Gossip Cop amesema msanii huyo alitekwa na majambazi ambao walimpora simu yake.
Soudy Brown alimtafuta rapper huyo ambaye alisema kwa wakati huo alikuwa studio, alipomuuliza kama aliripoti kituo cha Polisi kuhusu tukio hilo, Young Dee alijibu hivi; “… Haaa haa haaa… Haikuwa kitu…“
Unaweza kuisikiliza hapa U Heard yote ya leo kama hukuisikiliza kwenye Show ya XXL.



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni