Rapper mkongwe Joseph Haule aka Professor Jay baada ya kufanya vizuri kwenye single yake Kipi sijasikia aliyomshirikisha Diamond Platnumz time hii amekuletea hii single mpya Kwaa jili yako aliyomshirikisha msanii wa Uganda Jose Chameleone ambayo unaweza kuidownload na kusikiliza kwa kubonyeza hapa >>> HAPA
Hautopitwa na stori yoyote inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia GennSwahili.blogstip.com
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni