GENN MEDIA

KANSAS COLLEGE OF NURSING

Alhamisi, 18 Desemba 2014

Hii taarifa inawahusu wale watoto wawili wa Tanzania waliokua wameungana vifua.

Watoto 1

Bila shaka kila aliekua anawafatilia au kusikia taarifa za hawa watoto atakua na hamu ya kujua kimeendelea nini baada ya kupelekwa kutibiwa nchini India ambapo mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete amethibitisha kupitia ukurasa wake wa twitter kwa kuyaandika haya.

‘Hospitali ya Apollo lndia imefanikiwa kuwatenganisha watoto mapacha toka Tanzania waliokuwa wameungana vifua‘

Watoto wa Tanzania
Hautopitwa na stori yoyote inayonifikia hapa GennSwahili.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni