GENN MEDIA

KANSAS COLLEGE OF NURSING

Ijumaa, 19 Desemba 2014

Na hii ndio video mpya ya Joh Makini, unaambiwa imefanywa Kigamboni kwa 70%

Joh 1
Amerudi tena kwenye TV yako na hii new video ya single ya XO ft. G Nako ambapo video yote imefanywa Dar es salaam ambapo Kigamboni imetumika kwa asilimia 70 ambapo 30 nyingine iliyobaki ni maeneo ya karibu na Kigamboni, Joh ameiambia millardayo.com
Ukishaitazama hapa chini usiache kuniandikia lako la moyoni ili Joh akipita usiku aone watu wake wanasema nini kuhusu video.



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni