Waigizaji waliopo kwenye orodha A Tanzania akiwemo, Kajala,Wolper,Mzee Majuto,Hemedy,Yusuph Mlela,Irene Uwoya,Tausi,Mama Abdul,Gabo,Duma,Flora Mvungi pamoja na msanii wa Bongo Fleva Quick Rocka wapo location wakiandaa filamu mpya ya Manaiki iliyopewa jina la Wake Up.
Hizi ni baadhi picha mastaa hao walizoziweka kwenye akaunti zao za instagram wakiwa katika maandalizi ya filamu hiyo mpya.
Kajala na Quck Rocka wakiwa katika maandalizi ya filamu hiyo.
Wolper,Kajala na Irene Uwoya wakiwa location.
Kajala,Flora Mvungi na Yusuph Mlela wakiwa location kwenye maandalizi ya filamu hiyo mpya.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni