GENN MEDIA

KANSAS COLLEGE OF NURSING

Ijumaa, 19 Desemba 2014

Mabibi na Mabwana hii ndio video mpya ya Izzo Bizness

.

Rapper kutokea Mbeya City, Izzo Bizness baada ya kuachia single ya X Mas aliyomshirikisha Myra sasa time hii amekuja na video mpya ya single hiyo.
Itazame mtu wa nguvu kisha usisahau kuniandikia ya moyoni ili  Izzo Bizness akipita hapa asome kutoka kwa watu wake wa nguvu.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni