Marais wataafu Thabo Mbeki wa Afrika Kusini , Festus Mogae, Festus Mogae wa Botswana na Mhe. Benjamin William Mkapa wakiingia kwenye chumbs chs mkutano katika hotel ya Serena jijini Dar es salaam leo wakati wa mkutano wa Africa Readership Forum ulioandaliwa na taasisi ya uongozi Institute jijini Dar es salaam ambao ulikuwa unajadili changamoto mbali mbali zinazozikabili nchi za Afrikana kuangalia Maswuala mbali mbali ikiwa pomoja na hatua za kushughulikia changamoto hizo.
Raias Mstaafu wa Afrika Kusini Thabo Mbeki akizungumza katika mkutano huo uliojumuisha viongozi mbali mbali wa Afrika na taasisi mbali mbali kwenye hotel ya Serena jijini Dar es salaam
Marais wastaafu Thabo Mbeki wa Afrika Kusini katikati, Festus Mogae wa Botswana kushoto na Rais Mstaafu wa Tanzania Mhe. Benjamin William Mkapa.kushoto wakiongoza mkutano huo.
Baadhi ya viongozi wa taasisi mbali mbali walihudhuria katika mkutano huo.
Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mhe. Zitto Kabwe katikati ni mmoja wa viongozi waliohudhuria katika mkutano huo uliofanyaka kwenye hotel ya Serena jijini Dar es salaam.
Waziri Mkuu Fredrick Sumaye kulia na kushoto ni Balozi Ali Karume walikuwa ni miongoni mwa viongozi waliohudhuria mkutano huo pia.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni