Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Balozi wa Norway nchini anayemaliza muda wake Mhe. Ingunn Klepsvik wakati Balozi huyo alikwenda kumuaga Ikulu Jijini Dar es salaam leo asubuhi.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumuza na Balozi wa Norway nchini anayemaliza muda wake Mhe. Igunn Klepsvik wakati Balozi huyo alikwenda kunuaga Ikulu jijini Dar es salaam leo asubuhi.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni