Mtanzania anaeishi na kufanya shughuli zake za muziki Ujeruman yupo ndani Bongo sasa. Emmanueli Austine ni Mtanzania amezaliwa hapa hapa Dar es salaam amekuwa akifundisha watu kucheza(dance) na mengi mengi tu sasa yuko Dar es salaam tayari yuko kwa ajili yako atahudhuria show kibao katika vituo mbali mbali vya Television na Redio hapa nyumba ili kusoma show zake hapo utakiwi kukosa kaa una ndoto za kuwa star kama yeye atakuelimisha mengi tu.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni