GENN MEDIA

KANSAS COLLEGE OF NURSING

Jumatatu, 22 Juni 2015

Le Mutuz Amfagilia Tena Wema...Ataka Watu Waache Chuki na Wivu Juu ya Wema Sepetu.....'Matatizo yako ya maisha ni yako mwenyewe pigana nayo'



 PEACE JAMANI AMANI PEOPLE hata kama humpendi yeye lakini HESHIMU NYOTA YAKE cause tatizo sio yeye ila NYOTA and guys lets support her MBUNGE MTARAJIWA and yes I said it STOP HATING I mean guys TUPENDANE LIIFE IS TOO SHORT narudia huwezi KUMCHUKIA MTU USIYEMJUA NA ASIYEKUHUSU KAMA WEWE BINAFSI SIO A DEAD MAN WALKING mazafantazz ndio maana unataka na WENGINE WAFWE KAMA WEWE ...and wacha hizo CHUKI NA.WIVU WAKO matatizo yako ya maisha ni yako mwenyewe pigana nayo mwenyewe kila mtu ana yake na usieme mambo ya Chuki kayaleta fulani ina maana utaenda mbele ya Mungu useme niliambiwa KUCHUKIA WENGINE NA FULANI? people STOP HATING NOW...IT IS WRONG AND IT IS A SIN! Now Imagine unajaza.bundle kwa hela nyingi ili UKANUNUE DHAMBI hahahaha that is LE MBURULAZZZZ STOP IT NOW! - le Mutuz

@lemutuz_nation on Instagram

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni