GENN MEDIA

KANSAS COLLEGE OF NURSING

Ijumaa, 22 Agosti 2014

LUIS FIGO ATUA DARA TAYARI KUWASHUGHULISHA AKINA PAWASA JUMAMOSI TAIFA

Mwanasoka Bora wa zamani wa Dunia, Luis Figo kushoto akiwa Said Tuliy kulia baada ya kuwasili mjini Dar es Salaam leo kwa ajili ya kukichezea kikosi cha magwiji wa Real Madrid dhidi ya magwiji wa Tanzania  Jumamosi Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Tuliy ni mmona wa Waratibu wea ziara ya magwiji hao nchini.

Nyota mwingine wa zamani wa Real Madrid, Christian Karembeu akiwa na Tuliy baada ya kuwasili nchini

Karembeu akiwa na Mkurugenzi wa kampuni ya TSN, Farough Baghozah kushoto, ambaye kampuni yake ndiyo inawaleta magwiji wa Real nchini 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni