GENN MEDIA

KANSAS COLLEGE OF NURSING

Jumamosi, 26 Julai 2014

SPORTING KANSAS CITY VS. TORONTO FC

Mabingwa wa soccer wa ligi ya marekani (MLS) Sporting KC jioni hii wanaingia uwanjani kukwaana na Toronto FC ndani ya jiji la Toronto inchini Canada. Hiki ndio kikosi cha Sporting KC kitakachoanza mechi ya leo.

Photo: Thoughts on today's #SportingKC starting XI?

Watch tonight's match vs. Toronto FC at 6pm CT on 38 the Spot!

Match Coverage --> http://bit.ly/1nJbrdt


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni