MJ Records imepata studio mpya? amepost hii picha C.E.O mwenyewe Master J na kuandika haya maneno hapa chini…
Mwigizaji Kajala baada ya kuweka hii picha akaandika ‘Mtu anapokwambia huwezi kufanya kitu flani usiache kukifanya, tabasamu na kusema nitakuonyesha’
Staa wa bongoflevani Nay wa Mitego yuko nchini Kenya kufanya video yake mpya ambayo ameshea moja ya picha ya utengenezwaji wake kama unavyoona hapa chini
Ifuatayo ni TBT ya CMB Prezzo kutoka Kenya.
Jokate yuko nchini Kenya ambako kwa July 25 pekee ameonekana akihojiwa kwenye vyombo viwili vya habari kama alivyopost hapa chini akiwa na Mtangazaji William Tuva wa Citizen TV/Radio.
Hapa chini ni meneja wa kundi la Tiptop Connection ambae pia ni meneja wa Diamond Platnumz Babu Tale ambae ameshafika Marekani na Diamond kuhudhuria tuzo za AFRIMMA.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni