GENN MEDIA

KANSAS COLLEGE OF NURSING

Jumamosi, 26 Julai 2014

PICHA ZA MECHI YA SPORTING KC NA MAN. CITY JULY 23

Man. City iliweza kuwafunga mabingwa wa ligi ya Marekani (MLS) Sporting Kansas City mabao manne kwa moja. Mechi kati ya mabingwa hawa ilifanyika kwenye uwanja wa Sporting Park uliopo kwenye jimbo la Kansas. GENN tulikuwepo kuwapa burudani mashabiki wa timu zote mbili.

















Hakuna maoni:

Chapisha Maoni