GENN MEDIA

KANSAS COLLEGE OF NURSING

Jumatano, 17 Juni 2015

Wayne Rooney na mpenzi wake pamoja na mastaa wenzake walivyotokea kwenye Harusi ya Tom Cleverley..

 

Kiungo wa zamani wa klabu ya Manchester United, Cleverley amefunga ndoa na mchumba wake wa muda mrefu, Georgina Dorsett katika shughuli ya kifahari iliyofanyika huko Claridge.

 
Ndoa hiyo ilihudhuriwa na mastaa wengi wa soka akiwemo nahodha wa klabu ya Manchester United na England, Wayne Rooney ambaye pia aliongozana na mkewe Coleen, Chris Smalling wa Man United, Danny Welbeck na wachezaji wengine, pia alikuwepo mwimbaji wa band ya The Saturdays, Rochelle Humes.

 

Cleverley na mkewe wakiwa wanatoka kanisani
 
Mchezaji wa Arsenal, Danny Welbeck

 
Wayne Rooney na Coleen Rooney Harusini

 

 
Wanandoa kwenye pozi la picha

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni