GENN MEDIA

KANSAS COLLEGE OF NURSING

Jumatano, 17 Juni 2015

Safari ya mwisho ya Mufti Shaaban Simba duniani… #RIP

P1140356 
June 15 2015 ilitufikia taarifa ya msiba wa aliyekuwa Mufti Mkuu Tanzania, Sheikh Issa Bin Shaaban Simba.
Jana June 16 watu mbalimbali pamoja na viongozi wamekutana Shinyanga kumsindikiza Mufti huyo katika safari yake ya mwisho ambapo mazishi yamefanyika huko.
Haya ndio matukio niliyoyapata wakati wa mazishi hayo.

P1140337 
Mawaziri Wakuu Wastaafu, Edward Lowassa na Fredrick Sumaye wakiwa msibani.

P1140441 
Rais Jakaya Kikwete
P1140447 
Mbunge Edward Lowassa
P1140450
Waziri Bernard Membe

P1140457 

P1140463 

P1140465 
P1140485
                  Rais JK akiongea na Sheikh Mkuu wa Dar es Salaam, Alhadi Musa Salum.


P1140510 
                                                                      Mbunge William Ngeleja.
#RIP Sheikh Issa Bin Shaaban Simba

    

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni