Ilikua ni party iliyoandaliwa na Mastaa
kutoka kwenye sekta ya burudani na ikavunja rekodi ambayo haijawahi
kuvunjwa Tanzania kwa kuwa na kiingilio kikubwa na bado ticket zikaisha
huku party yenyewe ikinogeshwa na Diamond na mpenzi wake Zari ambaye
ndio ilikua mara ya kwanza Diamond anamuita mbele ya Watanzania.
Video hii imevunja rekodi kwa kutazamwa YouTube na kugonga views zaidi ya laki tatu na elfu tisini.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni