
Msaniii
wa Rnb Ben Pol amenusurika kupoteza maisha yake baada ya boti waliokuwa
wakisafiria kutoka mbudya kuzama. Hii ni taarifa aliyotupa na
kilichotokea.

Alisema Ben Pol "MUNGU
MKUBWA NA NINAMSHUKURU SANA KWA KUNIPA NAFASI NYINGINE YA KUISHI
DUNIANI, We had a very bad experience today, Tumekaa ndani ya maji kwa
zaidi ya lisaa, in the middle of nowhere, baada ya boat tuliyopanda
kuingia maji na engine kuzimika, maji yalizidi kujaa , Boat ikazama, Cha
kushukuru mungu wengi tulivaa life jackets, na baada ya kukaa majini
kwa zaidi ya lisaa ilipita boat ya Wavuvi Wakatuona, Ila kati ya wote
tuliyokuwepo kuna mtu mmoja hatujui alipo, na hakuwepo kati ya watu
tuliyookolewa, Hawa unaowaona hapa ndio tuliopona, Wanawake watatu,
watoto hao walikuwa watatu, wanaume tulikuwa nane, lakini mmoja ndiye
hatujui alipo"- Aliandika kupitia ukurasa wake wa Instagram
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni