Mtoto wa aliyekuwa mwimbaji mwenye sauti ya mvuto, Marehemu Whitney Houston, Bobbi Kristina.
Georgia, Marekani
MTOTO wa aliyekuwa mwimbaji mwenye sauti ya mvuto, Marehemu Whitney Houston, Bobbi Kristina ambaye ni mgonjwa amepangwa kurejeshwa nyumbani huku hali yake ikiwa bado haijatengamaa.
MTOTO wa aliyekuwa mwimbaji mwenye sauti ya mvuto, Marehemu Whitney Houston, Bobbi Kristina ambaye ni mgonjwa amepangwa kurejeshwa nyumbani huku hali yake ikiwa bado haijatengamaa.
Kristina, 22, ambaye kwa sasa analelewa
na Bobby Brown, yupo hospitali kwa miezi mitano sasa baada ya kukutwa
ameanguka bafuni huku akishindwa kupumua Januari 31, mwaka huu, huko
Roswell, Georgia na kulazwa mpaka hivi sasa.
Kwa mujibu wa chanzo kilisema kuwa
wamepanga kumrudisha nyumbani lakini baba yake amekataa akitaka aendelee
kutibiwa hospitali.Mama yake Bobbi alikutwa amefariki dunia bafuni
katika hoteli huko Los Angeles, Februari 2012, akiwa na umri wa miaka 48
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni