Kila shabiki huwa na hisia
zake pindi timu anayoipenda inapokua ikicheza na mara nyingi
tumeshuhudia watu wakitoa hadi mbalimbali endapo timu yake itaibuka na
ushindi ama la.
Kuna hii stori ya mtangazaji wa habari za michezo huku
Venezuela imenifia mtu wangu,,yeye aliwaahidi mashabiki kuwa endapo timu
yake ya Venezuela itaibuka na ushindi basi atavua nguo zake.
Sasa baada ya mchezo kumalizika kati ya Venezuela ambayo iliibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Colombia katika mashindano ya Copa America yanayoendelea.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni