Muimbaji wa Uzuri wako, Juma Jux baada ya kuachia single yake mpya aliyoipa jina Sisikii katika vituo mbalimbali vya radio. Leo anakupa sekunde 15 za kutazama kionjo cha video yake mpya iliyoshiriki msanii Vanessa Mdee.
Part 2 ndiyo hio sasa, je mgependa kuona part 3? #sisikiivideo #africanboy @zed_benson
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni