GENN MEDIA

KANSAS COLLEGE OF NURSING

Ijumaa, 9 Januari 2015

Mabibi na Mabwana hii ndio single mpya ya Chege na Temba waliyomshirikisha Dj Maphorisa

.

Hii ni single mpya ya wasanii kutokea TMK Wanaume Family, Chege na Temba iitwayo Kaunyaka waliyomshirikisha Dj Maphorisa kutoka Afrika Kusini.
Isikilize hapa mtu wa nguvu kisha usisahau kuniandikia ya moyoni ili Chege na Temba wakipita hapa wasome kutoka kwa watu wao wa nguvu..
Bonyeza hapa kuingia kuisikiliza na kudownload moja kwa moja….>>>> HAPA

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni