Mtu wangu wa nguvu kama ulikuwa na hamu ya kufahamu video za Afrika zinazofanya vizuri duniani na iliyofanikiwa kuchukua nafasi kwenye countdown za nchi kubwa.
kwa mara nyingine tunajiunga na kituo cha TV cha kimataifa cha Trace Urban cha Ufaransa kuangalia hii top 10 yao ya nyimbo kali za Afrika wiki hii
.
10.Tiwa Savage- My Darling
9.Sarkodie- Special Someone ft Burna Boy & AKA
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni