GENN MEDIA

KANSAS COLLEGE OF NURSING

Alhamisi, 18 Desemba 2014

U Heard ya leo December 18 iko hapa, unaweza kuisikiliza. Inamhusu msanii Linah.

gea hh

U Heard ya leo inamhusu msanii ambaye namba yake ya simu imekuwa ikitumiwa na mtu asiyemfahamu huku akijifanya kwamba yeye ndio msanii huyo.
Soudy Brown alimtafuta msanii huyo ambaye ni Linah na kusema kuwa ni kweli ametumiwa message na rafiki zake na wasanii wenzake kama bado anaitumia namba hiyo kwani wamekuwa wakitumiwa message, mtu anayetuma message hizo anajifanya ni Linah na wengine anawaomba hela.
Linah amesema alibadili namba hiyo muda mrefu na aliwahi kuwapigia simu watu wa mtandao husika wakamtaarifu kwamba wameifunga lakini kwa sasa kuna mtu anaitumia kwa kujifanya kuwa ni Linah.
Unaweza kuisikiliza U Heard hiyo kwa kubonyeza play hapa.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni