GENN MEDIA

KANSAS COLLEGE OF NURSING

Jumatatu, 15 Desemba 2014

TANZANIA YASHIKA NAFASI YA PILI MISS WORLD..nahiki ndicho alicho post instagram.....!

Happyz iii
Watanzania wameamua kwamba tukiamua tunaweza, good news kutoka London Uingereza, ambako yanafanyika mashindano ya Miss World mwaka 2014.


Happiness Watimanywa, mwakilishi wa Tanzania kwenye mashindano hayo ameshare na sisi taarifa nyingine nzuri kupitia ukurasa wake wa Instagram.
Happiness kaandika hivi; “Hey guys. Siwezi amini kuwa tumefika namba 2. Tuongeze bidii maana nchi nyingine pia wako bize na kura. Lets do this Tanzania!!!! Naamini pamoja tutafika. #votevotevote #PigaKuraSasa#DownloadTheApp#HuuNiMwakaWetu“– @happinesswatimanywa

Happyz


  1. Happyz II

Happyz IIii

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni