Mwanasoka Mkongwe Diego Amando Maradona bado ameendelea kuhusishwa na matumizi ya dawa za kuongeza nguvu na safari hii amekuja na habari mpya.
Imeripotiwa katika Televisheni ya nchini Argentina katika kipindi cha El Diaro de Mariana kuwa mwanasoka huyo hutumia dawa hizo mara nne kwa siku ili aweze kuwa faragha na mpenzi wake Rocio Oliva mwenye miaka 23.
Maradona mara kwa mara amekua akikamatwa na makosa ya kuwadhalilisha wasichana wadogo ambao hutembea nao pamoja na kuwahusisha katika utumiaji wa dawa hizo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni