GENN MEDIA

KANSAS COLLEGE OF NURSING

Jumanne, 16 Desemba 2014

Aliyoyaandika Diamond baada ya taarifa za kuwadharau wasanii wenzake Mombasa.

Daimond TZ

Wiki iliyopita Diamond Platnumz alikuwa na show Mombasa nchini Kenya, show ambayo ilikuwa na wasanii wengine kutoka Mombasa akiwemo Nyota Ndogo na Susumila ambapo taarifa zilizotoka ilisemekana kuwa alifanya kitu ambacho aliwakosea wasanii hao.

Diamond kupitia ukurasa wake wa Facebook ameandika; “Nimesikikitishwa sana na taarifa zilizoandikwa na chombo cha habari kuwa eti niliwanyanyasa wasanii wenzangu Nyota Ndogo na Susumila… Ningependa kuwajulisha mashabiki zangu waliokutana na story hizo kuwa sio za kweli ni zenye lengo la kudhoofisha mahusiano yetu mazuri ya wasanii wa Afrika…“

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni