GENN MEDIA

KANSAS COLLEGE OF NURSING

Jumapili, 7 Septemba 2014

UMEONA PICHA ZA MPENZI MPYA WA RAPPER CMB_PREZZO KUTOKA KENYA ZIKO HAPA.


Rapper CMB Prezzo kutoka Kenya ameingia tena kwenye headlines nchini Kenya baada ya kupost picha ya mrembo ambapo ndani ya post hiyo rapper huyo ameonyesha hisia zake za kimapenzi kwa msichana kwa kuandika maneno ya mahaba kwenye picha hiyo.Kupitia akauntia yake ya Instagrama aliandika hivi “My 1st & only.” na kuachia picha hii hapa chini 





Hakuna maoni:

Chapisha Maoni