Wauaji; Kiongera na Singano 'Messi'
SIMBA SC imeonyesha ubora wake wa msimu huu, baada ya kuwafumua mabingwa wa Kenya, Gor Mahia mabao 3-0 katika mchezo wa kirafiki jioni hii Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Mabao ya Simba SC yote yamepatikana kipindi cha pili, wafungaji Paul Kiongera aliyeiadhibu mara mbili timu yake ya zamani na Ramadhani SIngano ‘Messi’ moja.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni