Msichana wa miaka kumi anauguza uchungu na majeraha na maambukizi ya ugonjwa usioleleweka kutokanana na kubakwa na barobaro anayeaminika kuwa mwendeshaji boda-boda mtaa wa manyata huko kisumu. Taarifa zinatuarifu kuwa pia polisi hadi sasa wameshindwa kumtia mbaroni mshukiwa huyo licha ya kuwa na taarifa.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni