Bwana mmoja katika kijiji cha Chebarusa kilichoko katika Kaunti ya Uasin Gishu amezichoma nyumba mbili moja ikiwa ni ya mchungaji wa kanisa fulani katika eneo hilo kwa madai ya kumfumania mkewe akifanya mapenzi na mchungaji huyo katika shamba la mahindi. Ni tukio ambalo limewaghadhabisha wenyeji wa kijiji hicho, na kutia dosari uaminifu kati ya wachungaji na wafuasi wao.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni